Thursday, February 21, 2019

Nyimbo mpya kama hii ni burudani na elimu tosha kwa kijana
Habari mpenzi mtumiaji wa app hii, Umekuwa ukifanya kazi siku nzima za kujitafutia kipato, Kijana ni kutafuta na uzee ni kutumia. Tafuta ukiwa bado una nguvu.

Sasa mpenzi msomaji kuna wimbo mpya huu leo umetumiwa sikiliza na udownload pia saidia kushare video hii kwa marafiki whatsapp, facebook,twitter,instagram.

Download hapa 

Asante kwa kusikiliza, kudownload na kushare
Endelea kutumia App yetu bora

Wednesday, February 13, 2019

Bado unaweza kukopa pesa na kuzipata ndani ya masaa 8 tu

Promoted

Image result for noti bandia photo

*PATA MKOPO LEO LEO WA MATUMIZI AU KUANZISHA BIASHARA.*


Fuata hatua hizi 3 kukopa.
Unatakiwa kuwa na simu ya smartphone yenye line unayokopesa pesa iwe na intaneti washa data.
Kama huwezi kuanza hatua hizi pekeyako kukopa wasiliaana na mtoa huduma kwa whatsapp tu 0652428852 atakusaidia hatua kwa hatua mpaka upate mkopo wako leo leo.

Kama unaweza anza mwenyewe hatua hizi hapa chini
1. Pakua app kwa kubonyeza--> https://branch.co/download/66polk

2. Ili upate mkopo mkubwa ambao hauna gharama kabisa na unalipia kidogo kidogo hakikisha sehemu ya *promo codes* unaweka herufi hizi bila kukosea 66polk

3. Mwisho kupata mkopo bonyeza sehemu ya *omba mkopo* Kama tayari umeingiza promo codes ambazo ni 66polk

KABLA HUJABONYEZA OMBA MKOPO HAKIKISHA UMEWEKA PROMO CODES AMBAZO NI: 66polk ILI UPATE MKOPO MKUBWA NA HARAKA  Ukihita msaada wakati wa kujiunga tuma whatsapp tu 0652428852

Ushuhuda jinsi mkopo huu unavyowasiadia watu wengi wenye matatizo au uhitaji wa pesa.
‘Kuna kijana mmoja mkazi wa mjini songea alibahatika kuitwa kwenye interview (usaili) wa kazi jijini dar es salaam. Kijana huyu siku anapata taarifa ya kuitwa kwenye usaili huo hakuwa na pesa hata sh elfu tano. alijaribu kukopa kwa marafiki na ndugu bila mafanikio kila aliyemwomba alimjibu "Sina hela ningekukopa".

Alichokifanya alichukua simu yake na kuweka app hii https://branch.co/download/66polk  na kuweka promo codes ambazo ni: 66polk akajaza taarifa zake nyingine chache zinazohitajika kwenye app hiyo, baada ya masaa matatu tu akawa ameshapata pesa ya mkopo elfu 50 alizotumia kama nauli ya kwenda kwenye usaili Dar es salaam. Mungu si athumani kijana huyu alibahatika kupata kazi jijini dare s salama na akarejesha mkopo huo mwisho wa mwezi baada ya kupata mshahara wake wa kwanza.

Ushuhuda huu unatufundisha kuwa hata kama leo huhitaji mkopo wewe download app, jisajiri kabisa ibaki kukopa tu.. Kupata msaada wakati unajisajiri wasiliana na mtoa huduma whatsapp tu 0652428852

Kuna watu siku nyingine wanakosa hata pesa ya kula, Kwanini usiwasaidie watu wenye shida kama hizi au kupata mtaji wa biashara? Share ujumbe huu kwenye magroup whatsapp, facebook telegram, instagram, twitter Kuwa miongoni mwa watu wanaokoa maisha ya watu wenye uhitaji na MUNGU akubariki sana Promoted

Monday, February 11, 2019

Jifunze jinsi ya kupata mkopo ndani ya siku moja ufanye biashara au matumizi

JIFUNZE KUPATA MKOPO NDANI YA SIKU MOJA:

Habari za leo, Umekuwa ukifuatilia app yetu ya ajira kila siku sasa leo tunakupa habari njema ya kuweza kukopa pesa muda wowote unaotaka pesa, Mfano siku unaweza kuitwa kwenye interview mkoa wa mbali na ulipo na ukawa huna pesa kabisa, Sasa kwanini uanze kuahangaika kukopa kwa majirani na ndugu na kuishia kuapata majibu sina pesa. Suluhisho lipo kwenye makala hii usipuuzie soma kwa makini mpaka mwisho.
Related image
Mkopo usio na riba kubwa

*PATA MKOPO LEO LEO WA MATUMIZI AU KUANZISHA BIASHARA.*

Mkopo huu una riba ndogo sana, mfano ukikopa shilingi elfu 10 unalipia elfu 1300 tu kama riba. Bora kukopa kuliko kubaki na shinda na kukosa fulsa fulani kwakua huna pesa siku husika.

Fuata hatua hizi 3 kukopa

1. Pakua app kwa kubonyeza--> https://branch.co/download/66polk.

2. Ili upate mkopo mkubwa ambao hauna gharama kabisa na unalipia kidogo kidogo hakikisha sehemu ya *promo codes* unaweka herufi hizi bila kukosea 66polk

3. Mwisho kupata mkopo bonyeza sehemu ya *omba mkopo*

MUHIMU: HAKIKISHA UMEWEKA PROMO CODES AMBAZO NI: 66polk ILI UPATE MKOPO NDANI YA SIKU MOJA


Wapo watu wengi wanahangaika kupata mitaji ya biashara, wengine wanahangaika hata pesa ya kula tu kwa siku. Sasa kuwa miongoni mwa wanaookoa maisha ya watu hapa duniani share ujumbe huu kama ulivyo kwenye facebook, whatsapp, instagram, twitter na kwingineko ili na wenzako wanufaike na huduma hii. Bonyeza alama ya share sasa kuwatumia ndugu na jamaa ao kopi habari hii kama ilivyo. Promoted

Sunday, February 10, 2019

Je unaifahamu app ya "wasapu" jifunze hapa

IFAHAMU APP YA WASAPU YA KITANZANIA

Promoted
Kuna mitandao mingi duniani, Mingi imeanzishwa na wazungu, Kuna whatsapp kuna instagram kuna facebook na mitandao mingine kama hii. Umekuwa mpenzi wa mitando hii kwa muda mwingi, Sasa chakujiuliza ni hiki, Toka mitandao hii inakuja inatusaidia vipi hapa nchini kwetu?

Nakutambulisha Mtandao wa WASAPU ndio kuna mtandao unaitwa wasapu. Sijakosea kuandika ndivyo inavyoandikwa WASAPU, Ukiingia play store hata muda huu ukiandika "neno wasapu app" Utaona App ya wasapu yenye picha kama hii hapa chini. 



App hii inakulipa ukifungua groups na kujaza marafiki kwenye group na kuanza kubadilishana mawazo, Mfano ukifungua group la kilimo ukawa unawafundisha watu kilimo muda wowote group lako litakuwa na members wa kutosha kulipwa. Fungua group la interest yako yoyote unalipwa.

Kuweka app ya wasapu kwenye simu yako bonyeza muda huu link ya playstore hii--> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tzWasapuApp.chat

POINTI YA MUHIMU. Kama unatumia app ya telegram itoe kwanza usihofu hakitapotea chochote utaendelea kuwasiliana na uwapendao ambao wapo kwenye telegram kwakutumia App ya wasapu. Usipoitoa utakuwa unapata notifications mbili mbili zinazofanana. Promoted post.

Tangaza app yako iwafikie maelfu ya watu kwa siku kama tangazo hilo hapo juu. Unalipia elfu 30 tu post yako inarushwa kwenye app 3 zenye jumla ya downloads elfu 40 Tangaza you tube channel upate subscribers wengi na views wengi, tangaza blog au biashara yoyote unayotaka ifakie watu zaidi ya elfu 40 kwa siku. Wasiliana whatsapp au sms 0652428852


Thursday, February 7, 2019

Maswali 10 yanayoulizwa mara kwa mara kwenye usaili

Maswali 10 yanayoulizwa mara kwa mara kwenye usaili

 Grabilla screen capture:
Maswali 10 yanayoulizwa mara kwa mara kwenye usaili

Kujiandaa kwa interview ni kazi nzito kwa watafuta ajira wengi.

Yaani, unaanzia wapi? Una tazamiaje maswali atakayokuuliza mwajiri?

Unajibuje maswali ya interview?

Wasiwasi wa kuwaza interview insababisha wagombea wengi kuwa na hofu na hivyo kumfanya afanye kosa kubwa kabis, kuongea bila mpangilio.

Njia moja ya kuzuia hii kutokea ni kufuatilia mfumo wa kujibu maswali.

Kwanza, toa mfano wa kazi uliyofanya na jinsi gani ilikusaidia kutatua tatizo linalo kumba hiyo kampuni hivi sasa. Kwa mfano, “kwenye ofisi yangu ya zamani, nilikuwa na changamoto la _________ kilichokuwaa na matatizo zinazofanana na hii.”

Baada ya hapo, elezea hatua ulizochukua kutatua tatizo hili.

Malizia kuelezea matokeo yake na jinsi gani ulichojifunza kwa kupitia hayo kitasaidia kampuni hiyo na changamoto zake.

Sasa, kwa kuwa unajua namna ya kujibu maswali, ujiandae na maswali yapi?

Zifuatayo ni orodha yetu ya maswali 10 yanayoulizwa mara kwa mara kwenye interview na maana zao:

1. Tupe maelezo mafupi kuhusu wewe

Hapa, mwajiri hataki kujua kuhusu maisha yako binafsi, familia yako au unachopenda kufanya nje ya kazini. Mwajiri anataka umueleze kwa ufupi kuhusu kazi ulizofanya. Ulifikaje hapa na unataka kufika wapi.

Kwa hili, andaa maelezo ya kazi ulizofanya isiyozidi sekunde 30 na jinsi gani kazi hizi zimekuandaa kwa nafasi hii.

Dokezo la ziada: Toa maelezo kwa kumhadithia uliyoyapitia. Usiseme “mwaka 1999 nilienda Chuo Kikuu cha Smith kusoma Masoko. Mwaka 2004 nikapata kazi yangu ya kwanza…”

Badala yake sema:

“Mapenzi yangu na masoko yalianza nilivyokuwa na miaka 12. Kuna tangazo la Coca Cola lililokuwa linaongelea kombe la dunia. Hapo ndipo nilipojua kwamba nataka kutumia maisha yangu kutoa hadithi zinazowaunganisha watu na makampuni, kwa hiyo nikajiunga na Chuo Kikuu cha Smith – yenye moja kati kozi bora ya shahadaya masoko nchini Marekani, na baada ya kumalizi nikapata kazi _______. Baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu pale, nilianza kutamani changamoto mpya ya kikazi. Ndio maana niko hapa leo”

2. Kwa nini tukuajiri?

Kama unataka kubaki kwenye fikra za mwajiri zaidi ya wengine, usiwape orodha ya sifa zako – mwajiri anazijua tayari kupitia CV yako. Badala yake, waambie utawasaidiaje kutatua matatizo na changamoto zao. Kutoa jibu kamilifu hapa, waeleze ni jinsi gani utwasaidia wao badala a jinsi gani watakusaidia wewe.

3. Sifa yako kubwa ni nini?

Hii ni nafasi yako kuelezea sifa ulionayo ambayo unajua ni muhimu kwa kampuni hiyo na nafasi hiyo unayoitaka. Ila, usifanye kosa la kusema “mimi ni hodari kwa kuwasiliana”. Badala yake, toa maelezo kwa kuhadithia.

Kwa mfano:

“Sifa yangu kubwa ni ujuzi wangu kwenye kuwasiliana. Hii ilithibitishwa nilivyobidi kuonyesha maadili ya kampuni ____ kwenye soko jipya. Ilibidi ni fanye utafiti juu ya mahitaji na maadili ya wakazi wa eneo hiyo na kuandaa matangazo ya redio yaliyosisitiza maadili hayo na kuonyesha namna gani kampuni hiyo ilihusiana na maadili hayo. Matokeo yake ni kwamba tuliongeza ______ kwa 27% ndani ya mwaka mmoja. Sababu kuu ya hii ni kwamba tuliweza kuwasilisha ujumbe wetu kwenye mazingira ya pale.”

4. Upungufu wako mkubwa ni nini?

Hapa, waajiri wanataka kuona kama unajijua, kama unaweza kukubali kwamba una mapungufu na zaidi ya hapo, kama uko tayari kuzifanyia kazi.

Kwa hiyo, fikiria pungufu ambalo halina umuhimu mkubwa kwa kazi hiyo alafu ongelea hatua ulizochukua au utakazochukua kujiboresha hapo.

Usiseme kwamba huna pungufu lolote. Kila mtu anapungufu au mapungufu.

5. Kwa nini unataka kufanya kazi hapa?

Hili swali pia halihusu jinsi gani kampuni itakusaidia wewe ila, jinsi gani utakuwa faida kwao.

Utafiti juu ya kampuni utakaokuwa umefanya ulivyokuwa unaandaa CV na barua ya kuomba kazi itakusaidia hapa. Fikiria jinsi gani nafasi hiyo unayotaka itasaidia kampuni na kwa nini una nia ya kufanya kazi hapo.

Waajiri wanatafuta watu wenye hamu ya kufanya kazi kwao na sio kwamba ni mtu anayetafuta ajira tu. Wanatafuta watu wenye shauku na mawazo. Huu ni muda wako wakuonyesha mawazo yako.

Kwa mfano:

“Nina nia ya kufanya kazi nanyi kwa vile nimetambua kwamba soko liko katika mabadiliko na ninataka kuwasaidia kuongezea ufanisi na kukua kwa kampuni. Najua kazi itakuwa ngumu lakini hiyo ndio changamoto ninayoitafuta hivi sasa.”

6. Kwa nini uliacha kazi pale ulipokuwa?

Usimseme vibaya mwajiri wala wafanyakazi wako wa zamani. Badala yake, sema tu kwamba unatafuta “changamoto mpya ya kikazi”, ila eleza zaidi kwa kuwaambia jinsi gani kazi hii itakupa changamoto ulizokosa kwenye kazi uliyoacha.

7. Unatarajia kupata nini kutokana na kufanya kazi hapa?

Ongelea unachotumaini kutimiza ila kuwa mkweli. Pia usiongee kwa ujumla. Chagua kitu maalum ambalo ni muhimu kwa kampuni alafu ilenge. Ila, uwe wazi kwa kusema itachukua muda kujifunza zaidi kuhusu kampuni ili kufanikiwa zaidi.

Kwa mfano,


“Nikiwa mwalimu wa kiingereza, lengo langu ni kuongeza asilimia ya wanafunzi wanaofaulu mtihani wa taifa kuwa 85% ya darasa yangu. Najua itachukua muda kujua vizuri changamoto za wanafunzi ila, naamini nitafanikiwa”

8. Toa mfano ya tatizo ulilokumbwa nayo na ulichofanya kulitatua

Mradi umejiandaa kujibu hii swali, halitakupa shida.

Chaguo mfano unaoonyesha ujuzi muhimu inayohitajika kwa kazi hii.

9. Unatarajia kupata mshaara wa kiasi gani?

Hakikisha unafanya utafiti juu ya viwango vya mishaara kwa nafasi hiyo na kwamba umeshafikiria hili. Ingia na viwango viwili, ya chini iwe unayoweza kukubali na ya juu iwe unayopenda.

Usipojiandaa na ukajaribu kuhisia, unaweza ukaishia kujionea.

10. Una maswali yoyote ya kutuuliza?

Mwishoni wa interview, ni kawaida kwa mwajiri kuuliza kama una maswali kwao. Ukipewa nafasi hii, usiulizie mshaara na faida zingine. Badala yake, uliza:
Maadili ya kampuni
Aina ya uongozi
Wafanyakazi wenzako
Chochote ambacho hukuelewa kuhusu kazi hiyo.
Watakupa jibu baada ya muda gani?

Swali la ziada:

Baada ya miaka 5, unataka uwe umefikia wapi?

Mwajiri atakuuliza hili swali kujua kama utafuta ajira tu kupata mshaara au kama kweli unataka hii kazi kwa sababu umeipenda na inaendana na malengo yako ya kazi. Kwa hiyo, kwa kuwa wengi wetu hatujui kwa uhakika ni wapi tutakapofikia baada miaka 5, jaribu kufikiria hilo.

Tiba bora ya msongo wa interview ni kujiandaa

Ingawa interview inaweza ikakupa misongo mingi, ukijiandaa vizuri, kama chochote maishani. Utashangazwa na mafanikio yako.

Interview ni nafasi yako ya mwisho kumvutia mwajiri, na vidokezo vilivyoelezwa hapo juu zitakusaidia na hilo.

Kumbuka, hamna haja ya kuwa na wasiwasi ukiwa umejiandaa.
Mwisho wa somo letu la leo lifanyie kazi upate kazi ukiitwa kwenye usaili popote pale
------------------------------------------------------------------------------------
Tangazo: Anza sasa biashara ya kumiliki blog ya kufundisha chochote ulichosomea au unachokijua uuze matangazo kwenye blog yako kwa kuwa wakala wa kampuni ya google. Kupata blog iliyotenegezwa kitalamu na imeshaunganishwa na matangazo wasiliana whatsapp au sms ya kawaida 0652428852 Ukilipia leo ni sh elfu kumi tu badala ya elfu 25 ya kawaida. Sponsored Ad

Wednesday, February 6, 2019

Anza biashara ya kuuza matangazo ya makampuni na watu binafsi online
Habari za wakati huu, Napenda kukupa mwanga kuhusu biashara ya kufundisha watu chochote ulichosomea. Kwakutumia blog unaweza kufundisha chochote mtandaoni na utawafikia mamilioni ya watu duniani, Ule muda unaotumia kuchat kwenye mitandao ya kijamii kama facebook ni pesa. Blog ni chombo ambacho unaweza kufundisha chochote kwa video kwa picha na kwa maandishi.

Image result for blog earning photo
Mwanachuo uliosomea kilimo sasa ni wakati wako kuanza kufundisha kilimo kwenye mtandao yaani blog. Mwanachuo uliyesomea ufugaji nawe una fulsa ya kuanza kufundisha ufugaji kwenye blog yako na utaingiza pesa nzuri kwa matangazo ya  biashara. Mwanachuo uliyesomea uchumi kwanini usishauri watu masuala ya kiuchumi, Nawe uliyesomea maendeleo ya jamii una fulsa ya kuelimisha jamii kupitia mtandao yaani blog na utakuwa umejiajiri

Wapo wafugaji watataka uwatangazie biashara zao kama mayai ya kuku kwenye blog yako na watakulipa  wewe pesa nzuri. Wapo watakaotaka uwatangazie blog au app kama hii na watakulipa. Nzuri zaidi ukipata uwakala wa matanagzo ya kampuni ya google hapo ndipo utafurahia kutengeneza pesa ukiwa nyumbani kwako.

Kuanzisha blog  ni rahisi sana lakini kupata mapatangazo ndo tatizo kubwa. Wengi wameanzisha blog wameandika post zaidi ya 20 na kutelekeza blog zao kwakua walikosa matangazo.Sasa hilo tatizo limetatuliwa na mtaalamu anayeunganisha matangazio kwenye blog, Muda wote blog yako itakuwa na matangazo ya kutosha na utaingiza pesa nzuri. Wasiliana nae kwa whatsapp au sms za kawaida 0652428852 atakutengenezea blog ya kisasa ambayo itapata umaarufu haraka mitandaoni na utaanza kutengeneza pesa nzuri. Bei ya matengenezo haizidi elfu 25 tu. Hii ndo njia rajhisi ya kujiajiri kwa kijana asiye na mtaji lakini ana kompyuta au simu ya smartphone, endelea kutumia app yetu upate elimu zaidi kila siku.

Tuesday, February 5, 2019

Je unahitaji mkopo? Soma hapa


Ni mkopo rafiki kwa mteja. Unakopa kwa kutumia line yako ya tigo pesa halopesa au airtel money au line yoyote uliyonayo. Unatakiwa kuiweka line hiyo kwenye simu ya smartphone yenye internet kisha fuata hatua hizi tatu tu.

1. Pakua app kwa kubonyeza-> https://bit.ly/2Srn7Xp

2. Ili upate mkopo mkubwa ambao hauna gharama kabisa na unalipia kidogo kidogo hakikisha sehemu ya *promo codes* unaweka herufi hizi bila kukosea 66polk

3. Mwisho kupata mkopo bonyeza sehemu ya *omba mkopo*
HAkikisha unapojisajiri kwenye promo codes unaweka herufi hizi 66polk ili upate mkopo mkubwa leo leo

 Hakikisha unaweka hizo herufi nyekundu sehemu ya promo codes ili upate mkopo ndani ya masaa nane tu. Kopa bila kikomo {Sponsored}

Monday, February 4, 2019

Mwandishi wa blog anahitajika.
Habari ndugu msomaji, Hili ni Tangazo la kazi muda wa ziada wanahitajika waandishi wa blog. Kazi hii unafanya ukiwa nyumbani kwako, unashauriwa kuwa na kompyuta kufanya kazi hii. Kazi hii si lazima uwe umesomea uandishi wa habari bali uwe na uwezo wa kuandika makala si chini ya tatu ndani ya wiki moja
Image result for job photo
App ya ajira

Waandishi wa blog za kilimo nafasi 5
Waandishi wa blog za mapenzi nafasi 5
Waandishi wa blog za ufugaji nafasi 5
Waandishi wa blog za kuripoti nafasi za kazi na kushauri masuala ya maisha nafasi 5

Kutuma maombi andika makala ya mfano isiyopungua maneno 500 kisha itume kwenda mkuublog@gmail.com hakikisha makala hiyo haijawekwa kwenye mtandao wowote yaani umeitunga wewe mwenyewe na sio kukopi.

Malipo 
 Unalipwa kwa idadi ya wanaosoma blog yako, mfano blog ikisomwa mara 100,000 kwa mwezi unalipwa Tsh 200000 Hakuna kikomo hata blog ikisomwa mara milioni kwa mwezi unalipwa milioni mbili.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sponsored Apps: Je unahitaji kuwa na uelewa juu ya masuala ya mapenzi na mahusiano? Pakua app ya mapenzi toka play store bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=app.yamapenzi2

https://play.google.com/store/apps/details?id=app.yamapenzi2

Jifunze mapenzi na mahusiano uwe na familia bora.
Pharmaceutical Technician II Job

Pharmaceutical Technician II Job

Pharmaceutical Technician II Job

Application deadline 10. Feb

 Minimum Qualification Diploma Years of Experience 1 year
Description


Job reference number : DCMC-HQ-08

Reports to : Chief of Pharmacy

Position Summary:

Under the direction of Chief Pharmacy, the incumbent will be responsible for dispensing prescriptions from approved prescribers. Slhe will assist the pharmacist with support activities and processes required to dispense medical prescriptions. Collects, inputs, and verifies prescription, refill, and patient information. Receives and stocks incoming supplies

Qualifications and Experience:

· Holder of Diploma in Pharmacy from any recognized institution

· Must be enrolled in the registered Pharmacy council of Tanzania a pharmaceutical Technician

· At least one year' experience in the same position from a reputable hospital

A client seeks to hire a qualified candidate for the position of a Pharmaceutical Technician II
share this to friends who need job