| App ya Ajira |
Fuata hatua hizi mbili ku update App ya Ajira
1. Bonyeza link hii -> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ajira.go.tz.download
2. Bonyeza neno Update
Hapo utakuwa tayari umeweka App mpya ya Ajira
Kumbuka bado tunahitaji waandishi wa blog za kushauri masuala ya kazi na Ajira malipo ni kwa idadi ya wanaosoma blog. Mfano blog ikisomwa mara laki tatu kwa mwezi unalipwa laki tatu. Tumia fulsa hii tuma ujumbe kama unauwezo wa kufanya kazi hii kwenye email hii mkuublog@gmail.com
Mshirikishe na mwingine app hii ili apate kazi haraka
0 comments: