
Mwanachuo uliosomea kilimo sasa ni wakati wako kuanza kufundisha kilimo kwenye mtandao yaani blog. Mwanachuo uliyesomea ufugaji nawe una fulsa ya kuanza kufundisha ufugaji kwenye blog yako na utaingiza pesa nzuri kwa matangazo ya biashara. Mwanachuo uliyesomea uchumi kwanini usishauri watu masuala ya kiuchumi, Nawe uliyesomea maendeleo ya jamii una fulsa ya kuelimisha jamii kupitia mtandao yaani blog na utakuwa umejiajiri
Wapo wafugaji watataka uwatangazie biashara zao kama mayai ya kuku kwenye blog yako na watakulipa wewe pesa nzuri. Wapo watakaotaka uwatangazie blog au app kama hii na watakulipa. Nzuri zaidi ukipata uwakala wa matanagzo ya kampuni ya google hapo ndipo utafurahia kutengeneza pesa ukiwa nyumbani kwako.
Kuanzisha blog ni rahisi sana lakini kupata mapatangazo ndo tatizo kubwa. Wengi wameanzisha blog wameandika post zaidi ya 20 na kutelekeza blog zao kwakua walikosa matangazo.Sasa hilo tatizo limetatuliwa na mtaalamu anayeunganisha matangazio kwenye blog, Muda wote blog yako itakuwa na matangazo ya kutosha na utaingiza pesa nzuri. Wasiliana nae kwa whatsapp au sms za kawaida 0652428852 atakutengenezea blog ya kisasa ambayo itapata umaarufu haraka mitandaoni na utaanza kutengeneza pesa nzuri. Bei ya matengenezo haizidi elfu 25 tu. Hii ndo njia rajhisi ya kujiajiri kwa kijana asiye na mtaji lakini ana kompyuta au simu ya smartphone, endelea kutumia app yetu upate elimu zaidi kila siku.
0 comments: