Ijue App pekee inayo tengeneza ajira kwa vijana mtandaoni
Habari ndugu mtumiaji wa app hii, Leo nakutambusha app pekee ambayo ukiitumia utapata pesa kwa kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni. Ni app ya jamii huru. App hii inakuwezesha kutengeneza hadi laki 5 kwa mwezi kama wewe ni mbunifu.
![]() |
| jamii huru pesa |
Siku hizi kuna mitandao mingi duniani kiasi kwamba wamiliki wa mitandao hiyo wanatakiwa kushindana kwa kutoa huduma bora kuliko wengine. Hivyo mtandao wa jamiihuru.com umekuja na huduma kabambe ambayo huwezi kuipata sehemu yoyote duniani hata ukiiipata basi tambua wameiga toka kwa kwa jamii huru social media.
Jamiihuru.com ina huduma hizi zifuatazo
1. Unalipwa sh elfu moja kwa kila mtu unayemsajiri kwenye mtandao huo. Yaani hakuna kusubiri mpaka zifike sh elfu 50 ili utumie hapana ukimsajiri mtu mmoja sh elfu moja yako inakuwa kwenye simu au mkononi na kuweza kuanza kuitumia.
2. Unalipwa kwa idadi ya likes unazopata kwenye page unayoendesha ndani ya jamiihuru.com mfano page yako ikipata likes 10000 unalipwa laki moja bila kuchelewa.
3. Unalipwa kwa kuandika makala original sehemu ya blog ndani ya jamiihuru.com makala 100 sawa na sh elfu elfu mbili au dola moja.
Pakua app ya jamiihuru toka playstore bonyeza link hii http://bit.do/jamii-huru
Maelekezo mengine utayapata kwenye App unapoifungua tu bada ya kuidownload karibu ulimwengu wa teknolojia utajirike online. Sponsored

0 comments: